Skip to main content

Uwasilishaji kwa LibreOffice - Kwa Walimu

Uwasilishaji kwa LibreOffice - Kwa Waalimu

Karibu kwenye hii kozi! Hapa, utajifunza jinsi ya kuandaa uwasilishaji mada kwa kutumia Impress, njia bora ya ufundishaji. Njia ya uwasilishaji mada ya Impress inakupa uwezo wa kutumia picha, video na vinginevyo katika ufundishaji. Kozi hii inaandaliwa na walimu na itakuongoza wewe mwalimu katika uandaaji wako wa awali wa uwasilishaji mada kwa kutumia Impress.

Tazama video fupi ya maelezo kuhusu kozi hii kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Camara Education" upande wa juu kulia

Lipia kozi hii kwa Camara Tanzania kupitia Mpesa (0769 677 684) au Tigo Pesa (0719166778) kwa kutuma kiasi cha Tsh 5,000/= Baada ya muda mfupi utapata ujumbe wenye kuponi namba ambayo utaiingiza kwenye sehemu ya kuweka kuponi namba kwenye compyuta ili kuweza kuingia kwenye kozi. Usipopata kuponi yenye namba baada ya lisaa piga namba uliyotuma kwa maelezo zaidi.

 1. Course Number

  TEX01-SW
 2. Classes Start

  Jun 18, 2017
 3. Classes End

  Jun 01, 2031
 4. Price

  TSh5000
Enroll