Skip to main content

Utangulizi wa My Maarifa(TAN)

MyMaarifa

MyMaarifa ni jukwaa lililonzishwa hususan kwa ajili ya walimu wa kitanzania waweze kuwasiliana. Jukwaa hili liliendelezwa na Avant Communications na linamruhusu mwalimu kutuma maswali na kutoa ufafanuzi wa maudhui,kujibu maswali ya walimu wengine na kushirikishana zana mbalimbali kama vile maudhui ya mtandaoni, andalio la somo,tovuti za kielimu, shughuli mbalimbali za ufundishaji na ujifunzaji, n.k. Kozi hii fupi inalenga katika kuelezea jinsi ya kujisajili, kuingia na kutumia MyMaarifa. Tunakutakia mafanikio na mawasiliano mazuri na wenzako.

  1. Course Number

    MM001-SW
  2. Classes Start

    Feb 02, 2017
  3. Classes End

    Feb 01, 2018
Enroll